
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa habari
leo tarehe 23 Mei 2015 kuelezea juu zoezi la uandikishiaji wa Wananchi
kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho tarehe
24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa
Ndugu Smythies Pangisa.

Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea. Kwa taarifa kamili SOMA HAPA CHINI:-