
Athari
ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya
mbezi chini ikiwa imekatika kufuatia mvua kubwa ilionyesha siku nzima
ya jana.


Uchafu
mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa baada ya
maji ya mto huo yaliyokuwa yakitiririka kwa kazi,kuziba
kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na
kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.

Athari
kubwa ya mvua iliyopelekea kuleta adha kubwa katikati ya jiji la Dar na
kwingineko.Pichani ni hali halisi ya maji kutuama mbele ya soko la
Mboga mboga na Matunda eneo la Afrika Sana-Sinza,kufuatia mitaro ya eneo
hilo kuzibwa na uchafu.

Pichani mkazi wa Bamaga akitazama athari ya mvua kubwa ilionyesha siku nzima ya jana jijini Dar




Soko la Mwenge nalo ilikuwa ni vigumu biashara kufanyika.

Kufa kufaaaana.



Sehemu ya Mto mbezi

Huyu jamaa sijui alikuwa anatafuta nini



