marehemu David Ngahyoma enzi za uhai wake
mpiga picha mkongwe na mchukua matukio kutoka kampuni ya sahara media na startv David Ngahyoma amefariki usiku katika hospital ya cf iliyoko jijini mwanza ambapo alikuwa amelazwa kwa muda wa wiki moja na hadi pale mauti yalipomkuta. tunawatakia pole wafanyakazi wote wa sahara media na wanahabari wote wa jiji la mwanza kwa kuondokewa na nguli huyu wa mambo ya habari na matukio
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI "AMEN"
