Rais Kikwete akimpokea Rais
Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijiniDar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje
ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
picha na GPL