ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.]
May 2, 2015
RAIS DR. SHEIN AONGOZA KILELE CHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI