Rais
wa Burundi, Pierre Nkurunzinza akirejea nchini mwake baada kushindikana
kwa jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali yake alipokuwa nchini
Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa EAC.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amejerea nyumbani hapo jana, baada
ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kuhudhuria
kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokuwa wakijadili
mgogoro wa Burundi.