NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya
shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya
kampeni ya kutokomeza Fistula nchini wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa
ya Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya ya Mbogwe mkoani
Geita mwishoni mwa wiki,Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya
CCRBT Haika Mawala,Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 23.
Meneja
Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania Grace Lyon,akiwasikiliza
jambo baadhi ya watoto waliofika na wazazi wao katika maadhimisho ya
Kimataifa yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya ya Mbogwe mkoani
Geita.Vodacom Foundation ilikabidhi Hundi yenye thamani ya shilingi
milioni 100/- Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa(hayupo pichani)kwa
niaba ya Hospitali ya CCRBT kwa ajili ya kutokomeza fistula
nchini,Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 23.
Naibu
Mkurugenzi wa Hospitali ya CCRBT Haika Mawala( kushoto)na Meneja
Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon wakimuangalia
mtoto Nyambole Kulubone mwenye tatizo la mdomo wa sungura akiwa
amebebwa na mama yake Mariam Sanda(22) Mzazi huyo aliyehudhuria katika
Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula aliaidiwa na Mkurugenzi wa hospitali
ya CCBRT(kushoto) kuwa mtoto huyo atatibiwa bure katika hospitali hiyo
wakati walipomuona kwenye Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula
yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe Geita. Ambapo Taasisi ya
Vodacom Foundation ilimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni
100/-Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa(hayupo pichani)kwa niaba ya
Hospitali hiyo kwa ajili ya kutokomeza fistula nchini,Maadhimisho hayo
hufanyika kila mwaka Mei 23.
Naibu
waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa(kushoto)akimsisitiza jambo Meneja Biashara
Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon,wakati wa Maadhimisho
ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe
Geita.Meneja huyo alimkabidhi waziri huyo hundi yenye thamani ya
shilingi Milioni 100/-iliyotolewa na taasisisi ya Vodacom foundation kwa
ajili ya kutokomeza fistula nchini.
Meneja
Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon(kushoto)
akimsisitizi jambo Balozi wa Fistula nchini Mrisho Mpoto wakati wa
Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika kitaifa katika
Wilaya Mbogwe Geita mwishoni mwa wiki. Ambapo Taasisi ya Vodacom
Foundation ilimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni
100/-Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa(hayupo pichani)kwa niaba ya
Hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kutokomeza fistula nchini,Maadhimisho
hayo hufanyika kila mwaka Mei 23.