May 23, 2015

MAVAZI YA KISASA KUTOKA UINGEREZA KWA BEI YA JUMLA NDANI YA PENDA FASHION

PENDA FASHION UK nchini Tanzania ni wauzaji wa bidhaa mbalimbali za mavazi ya kisasa kutoka Uingereza kwa bei nafuu. Wasiliana nao kwa mahitaji yako ya mavazi na urembo wa kisasa vyenye ubora wa hali ya juu kutoka UK. Pia wafanyabisahara ya maduka ya nguo wanaweza kuagiza mahitaji yao kupitia Penda Fashion iliyopo jijini Dar es salaam na kuletewa mzigo kwa bei ya jumla ya UK, hii itakusaidia kupunguza gharama za usafiri na malazi kwenda Uingereza hivyo kujiongezea faida. 
Utaletewa mzigo wako dukani kwako na usalama wa pesa na mzigo wako ni asilimia 100!
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nao kwa namba:
WhatsApp: +44 7405882575/ Mobile: +255 715 285 332 E-mail:pendafashionuk@gmail.com
Au watembelee Facebook na Instagram: @pendafhionuk

source: Gpl