.jpg)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Mei 18, 20154, Victor Mwambalaswa wa Lupa, Sylvester
Mabumba wa Dole na Dkt. Hamisi Kigwangalla wa Nzega.
.jpg)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 18, 2015.
.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge
Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Simanjiro
Mhe.Christopher Ole-Sendeka nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya
kupitishwa kwa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei, 16 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)