kitambulisho cha mpiga kura cha nchi ya msumbiji
baada ya katibu wa wilaya ya MASASI CHADEMA kufanya utafiti takiribani
wiki moja huku zoezi la uandikiahaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
likiendelea imegundulika kuna raia wa nchini MSUMBIJI wanajiandikisha
katika zoezi hilo ndipo ikatoka taarifa kwa vyombo vya usalama na muda wa majira ya saa nne kwa mkuu wa kituo cha polisi ndanda ndipo hao
viongozi wa chama cha FRELIMO CHA MSUMBIJI waishio Tanzania wakakili
kuwa wana wanachama 300 katika kata ya NDANDA NA MWENA na pia wakasema
kuwa wana viongozi wao wa wilaya FRELIMO NA AFSA KANDA WA FRELIMO. Mkuu wa
polisi amewataka viongozi wa FRELIMO wawasilishe majina yote ya raia wa
msumbiji ili tuwaondoe katka daftari la kudumu. pia nikawaambia
wasitake kuvuruga uchaguzi na hii ni mbinu ya chama cha mapinduzi na
ushaidi ninayo wa kutosha {katibu wa wilaya ya MASASI CHADEMA}
habari na Dickson Arsen masasi