Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza utaa
wa picha zake zilizozagaa mtandaoni akiwa amavalia shera kwa kuweka
wazi kuwa ni kweli ameolewa.
Leo akiongea na Soudy Brown kwenye U Heard ya XXL Clouds FM, Wema
ameeleza kuwa Katika kipindi cha xxl cha yeye tayari ni mke wa mtu, na
kwamba yeye na mwenza wake huyo wameshafunga ndoa ya bomani kwani mume
wake ni mkatoliki na mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya
kutoweza kushika ujauzito. Wema aliongeza kuwa mwisho wa mwezi wa tano
watafanya party rasmi kwani harusi yao hiyo ya siri iliusisha watu
wachache sana wasiozidi wa tano .
Hongera sana Wema.