Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe
akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar
es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini
kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinton
Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).