
Mtaalamu wa kujitolea kutoka nchini Japani Bw. Shota
Yanagisawa (aliyesimama) akijitambulisha kwa Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.
HAB Mkwizu katika hafla fupi ya kukaribishwa nchini iliyofanyika Utumishi
mapema leo.
.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akiwakaribisha wataalamu wa kujitolea kutoka
Japani waliokuja kuja kujitambulisha Utumishi mapema leo.
.jpg)
Wataalamu wa kujitolea kutoka
nchini Japani wakishukuru baada ya kukaribishwa mapema leo.