.jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA), Bw. Awadh
Massawe (mwenye koti la bluu kushoto) akiongoza kikao cha wadau wa mamalaka hivi
karibuni jijini Dar es Salaam. Pamoja na kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari,
vikao hivyo vinalenga kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari hiyo na kuifanya
kuwa shindani katika eneo hili la Afrika.
picha kwa hisani ya michuzi blog