Spack: Sikukosana na Abdul Bonge bali ni watu wake
pack amedai kuwa hakuwahi kukosana na marehemu Abdul Bonge licha ya
kuondoka Tip Top Connection bali ni watu wake wengine waliokuwa kwenye
uongozi wa kundi hilo.
Abdul Bonge aliyefariki Jumamosi iliyopita amezikwa jana kwao mkoani Morogoro.
Akiongea na Radio Citizen ya Kenya, Spack alidai kuwa Bonge hakuridhika kuondoka Tip Top. Mtazame hapo juu.