Kutoka kushoto ni Mkurugenzi
mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji
wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara
Mugele ambaye ni Dean of students Shule ya Sekondari ya St. Anthony.
Daktari Edna Kiogwe akieleza
juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony wakiwa wanafuatilia kwa makini Semina hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule
ya Sekondari ya St. Anthony wakifurahia Pads za Glory walizopewa ikiwa
ni ishara ya kusherehekea sikukuu ya Hedhi Duniani.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St.Anthony wakifurahia zawadi za Glory Pads baada ya Semina.
Kufahamu zaidi juu ya Hedhi salama Bofya www.hedhisalama.com