Mtibwa
Sugar imewazawadia ndugu zao Kagera Sugar bao moja na kupelekea Kagera
kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wa Ligi kuu Soka Tanzania
Bara uliochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.Kagera
walikuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Andrew Chikope wa Mtibwa
aliyejifunga Dakika ya 37 kabla ya Ame Ally kuisawazishia Mtibwa Dakika
ya 47.
Rashid Mandawa aliifungia bao la ushindi Kagera Dakika ya 74.
Rashid Mandawa aliifungia bao la ushindi Kagera Dakika ya 74.