
Picha
ya pamoja ya wana Jumuiya Watanzania wanaoishi nchi za Scandinavia na
Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa
Tanzania Sweden.

Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais wa Zanzibar na Utawala Bora, ndugu Salum Maulid
Salum akiwa mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa wana Diaspora
Scandinavia uliofanyika April 4, 2015 nchini Danmark.

Mratabu
wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar
Ndugu Hassan Hafidh akisikiza kwa makani maoni ya wana Diaspora
Scandinavia.

Mwakilishi
mkaazi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchi za Scandinavia, ndugu
Hamad Hamad akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa miradi mbali mbali ya
Jumuiya Zanzibar.

Mweyekiti wa Zandias akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu mkuu Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Zanzibar.

Mjumbe maalum wa GoZanzibar Germany akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanziabar.
+akitoa+maeleze++kuhusu+utekelezaji+wa+miradi+na+mikakati+mbali+ya+jumuiya+hiyo+kwa+zanzibar.jpg)












