Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Sylvester Ambokile
Mwakinyule wakati alipowasili kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji
Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji
Zanzibar leo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kutoka kushoto)
Kamishna Mkuu wa UhamiajiTanzania Sylvester Ambokile Mwakinyule na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Perera A.Silima.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiangalia hatua za utengenezaji wa PassPort za Uraia wa
Tanzania wakati alipotembelea sehemu mbali mbali baada ya kulifungua
Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo Kilimani Mjini Zanzibar
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete (kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Perera
A.Silima na (kulia) Inspekta wa Uhamiaji Hassan Suleiman Ameir.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Asistance Inspekta Khamis Ali
Haji (katikati)wakati alipotembelea katika chumba cha kumbukumbu za
picha kwa Wananchi walioomba Passpoti za Uraia baada ya kulifungua Jengo
la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo Kilimani Mjini Zanzibar
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete. [Picha na Ikulu].