WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI, PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA CONTRACTUS YA POLAND
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem
Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam Machi 9, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem
Al Najem, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Katikati ni
Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Batholomeo
Jungu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya
Contractus ya Poland, Bw. Witold Kartzewski (wapili kulia) na watendaji
wa kampuni hiyo, Daniel Junusz (kulia) na Honorata Musloviska Ofisini
kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Kampuni hiyo pamoja na mambo
mengine bingwa katika ujenzi wa vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa
kuhifadhi tani nyingi za nafaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)