.jpg)
.jpg)
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane
wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.(picha na Freddy Maro)
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa salamu za Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa
marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Kikwete (katikati) akijadiliana jango na Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed
Gharib Bilal wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John
Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.Wengine pichani toka kushoto ni Rais
Mstaafu,Mh. Ali Hassan Mwinyi,Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda,Mke wa
Rais,Mama Salma Kikwete pamoja na Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh.
Benjamin Mkapa.
Sehemu ya viongozi mbalimbali wakiwa kwenye viwanja vya Karimjee leo.
PICHA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE