Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi
Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani
Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea
maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
tarehe 8.3.2015.
Wafanyakazi akina mama kutoka Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto.
Wafanyakazi
kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi
wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya
jukwaa la mgeni rasmi.
Wafanyakazi
kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipita huku
wakishangilia kwa furaha mbele ya mgeni rasmi.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa wanawake na
maendeleo wakati wa kudhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani
mkoani Dar es Salaam zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe
8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya
wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi iliyotolewa na akina mama
kutoka moja ya wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha
maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya mkoa wa Dar es Salaam kutoka
kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi
na Afisa Tawala wa Mkoa Mama Theresia Mbando (katikati) wakati wa kilele
cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanawake wa mkoa wa Dar
es Salaam wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa
kimkoa katika viwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwee akitembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na wanawake katika Mkoa wa Dra es Salaam
wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe
8.3.2015.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akitazama vijarida mbalimbali vinavyotolewa na
wanawake katika mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na nmasuala ya tafiti
mbalimbali.
PICHA NA JOHN LUKUWI.