Mgeni
rasmi katika Mnuso wa bloggers ambae pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza
la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga akitoa mawili matatu kwa
bloggers na kuahidi kuwa kuanzia mwaka huu bloggers wataingia katika
tuzo mbalimbali zinazoendeshwa na MCT .
Katibu
Mkuu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga
akisalimiana na Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza wakati wa mnuso
wa wamiliki wa Blog uliofanyika usiku wa Kuamkia Jana katika Hoteli ya
Serena. Wanaoshuhudia pembeni Mwenyekiti wa Muda wa Tanzania Bloggers
Network (TBN) Joachim Mushi na Mmiliki wa Michuzi Blog, Issa Michuzi 
Mgeni
rasmi katika Mnuso wa Bloggers ambae pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza
la Habari Tanzania (MCT) akijadiliana jambo na Adela Kavishe ambae ni
Mmoja kati ya wamiliki wa blog hapa Tanzania, Katikati ni Monica Joseph 
Baadhi ya Bloggers wakiwa katika picha ya Pamoja 
Cheers 
Khadija
Kalili akisalimiana na Mgeni rasmi ambae pia ni Katibu Mtendaji wa
Baraza la habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga wakati wa mnuso 
Mwenyekiti
wa muda wa Mtandao wa Wamiliki wa Blog Tanzania (Tanzania Bloggers
Network) Joachim Mushi akimkaribisha Mgeni rasmi kwaajili ya kutoa
maneno mawili matatu kwa wamiliki wa blog. 
Mkurugenzi
wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twisa akiongea
jambo mbele ya Wanablog na wageni rasmi juu ya udhamini mkuu walioutoa
katika mnuso huo kwa kutambua mchango wa blogs Tanzania 
Burudani kutoka kwa Jhikoman 
Mgeni rasmi akikata ndafu 
Mwakilishi wa Bloggers akilishwa ndafu na mgeni rasmi Katika Mnuso huo 
Adela Kavishe na Mdau Faustine Ruta wa Bukoba wadau Blog wakiwa mbele ya Ucanon wa Lukaza Blog 
Serebuka Serebuka unaweza pendwa tena........ 
Faustine Ruta wa bukoba wadau blog katika ucanon wa Lukaza Blog na Josephat Lukaza 
Makala na Woinde kwa pamoja 
Monica Joseph na Mkurugenzi wa Masoko Wa Vodacom Kelvin Twisa 
Ankal akiwa na Faustine Ruta na Crant wakati wa mnuso wa bloggers.Picha zote na Josephat Lukaza