Mtambo aina ya Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga
ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa
wa Kaskazini ”B” Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi
ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la Zingwezingwe
Mkoa wa Kaskazini ”B” Unguja tayari kawa kuangamizwa.
Magari
yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya
Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai
kwa matumizi ya binadam.