Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho katikati
akisindikizwa na Askari wake kutoka katika ukumbi wa Baraza Baada ya
kuhairishwa kwa kikao hicho kilichoanza leo Mbweni nje ya mji wa
Zanzibar.
Waziri wa Miundo mbinu na mawasiliano Juma Duni Haji kushoto akiwa
pamoja na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nasor Ahmed Mazrui nje ya
ukumbi wa Baraza la Wawaklilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma akibadilishana mawazo
na mwakilishi wa kuteuliwa nafasi za wanawake Wanu Hafidh Ameir nje ya
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbwenu nje ya mji wa Zanzibar.
-Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma wakizungumza jambo na
Mwakilishi wa Jimbo la Mji mkongwe Ismail Jussa Ladhu nje ya ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawabora DKT Mwinyihaji
Makame kulia akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Saidi
Hassan Saidi nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji
wa Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
na JIACHIE BLOG