Jan 2, 2015

JENGO LAANGUKA NA KUJERUHI WATU MJI MKONGWE, ZANZIBAR


 jengo lililoporomoka na kujeruhi watu huko zanzibar





JENGO moja llililopo eneo la Mji Mkongwe, Zanzibar limeporomoka na kujeruhi watu kadhaa leo majira ya saa tano asubuhi. Idadi kamili ya majeruhi katika ajali hiyo bado haijafahamika.
PICHA NA GLOBAL