Jan 6, 2015

DW IDHAA YA KISWAHILI---SHINDANO


Sherehekea na Idhaa ya Kiswahili ya DW, Simu za mkononi, iPods, redio na zawadi chungu nzima zinakusubiri! Tuambie ni nchi gani itakuwa mwenyeji wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika 2015? Je, ni Morocco, Angola, Guinea ya Equator au Togo? Tutumie jibu lako sahihi kupitia anuani yetu ya barua pepe: Kiswahili@dw.de
DW Tunavuma kwa kishindo

 na DW (Kiswahili)