| Waumini wakiwa katika ibada ya kuwekwa Wakfu na kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini ,Dkt Fredrick Shoo ibada iliyofanyika Usharika wa Moshi Mjini. |
| Askofu ,Dkt Paul Akyoo akimvisha kofia Askofu Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini ,Dkt Fredrick Shoo ikiwa ni alama ya ukuhani wake Yesu Kristo katika kanisa lake. |
| Maaskofu wakiwa wamemzunguka huku wakimwekea mikono Askofu Mpya wa Dayosisi ya Kaskazini Dkt Fredrick Shoo na kumbariki kwa baraka ya Haruni wakati wa ibada ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwake. |
| Baadhi ya waumini na viongozi mbalimbali wakiwa katika ibada hiyo iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Moshi mjini |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini ,kwa PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA.