Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
| Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakitembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam jana, wakiambatana na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
| Oriyo akielezea mafanikio ya TBL na jinsi kampuni hiyo inavyoongoza katika pato la Taifa |
| Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi Ofisa wa Jeshi la JWTZ, aliyeongoza ujumbe huo, Brigedia Jenerali Dominic Mrope |
| Martine akimkabidhi zawadi Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Mipango na Ugatuzi, Purity Masikombe |
| Ujumbe huo ukitembelea idara ya ujazaji bia kwenye chupa na makopo |
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao