Dec 10, 2014

VODACOM CHALI KATIKA FAINALI YA LIGI ZA MAKAMPUNI‏

Mchezaji wa Timu ya Vodacom, Osca Coby akiwatoka wachezaji wa Timu ya CRDB wakati wa bonanza lililofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Laureate International jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa Timu ya Vodacom, Carlos Sylvester (kushoto) akitafuta mbinu ya kumtoka mchezaji wa timu ya, BQ CONTRACTOR, Emil Michael katika mchezo wa Bonanza uliofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Laureate International jijini Dar es Salaam.Meneja rasilimali watu wa VODACOM, Ndihagati Biduga akishangilia baada ya timu yake kufunga goli wakati wa Bonanza kati ya Vodacom na BQ CONTRACTOR, mchezo uliofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Laureate International jijini Dar es Salaam.