uigizaji wa filamu, Nagris Mohammed aliiweka kwenye ukurasa wake
kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kama TBT, ikimuonyesha kipindi akiwa
bado binti akiwa pamoja na marafiki zake.
TBT (Throw Back Thursday) ni neno maarufu kwenye mtandao wa Instagram, ambapo watu huwekwa picha siku Alhamis nakuweka alama ya #TBT. Watu huweka picha zao za zamani kama kipindi wapo shule, na wengine wakati wanatambaa au matukio ya zamani sana. picha hizi mara nyingi hufurahisha wengi sio wanaziweka tu bali hadi watu waozitazama, kutokana na ile hali kuwa watu tunakuwa na tunabadilika tutokana na muda.
Leo sasa icheki TBT hapo juu picha ya muigizaji huyu ambae aliwahi pia kushiriki kwenye mashinado ya kumtafuta mrembo wa Tanzania maarufu kama Miss Tanzania, Kipindi alipokuwa bado msichana sana, kabla hata ya kushiriki Miss Tanzania na sidhani kama alikuwa anandoto zakuja kuwa staa hapa bongo na hasa kuja kuwa muigizaji wa filamu.
Dada angu @thembonishow apo vipi watu wakinichukulia poa? Haki.... nilipoona nilicheka nimekukumbuka crop top long timeHayo ndio maneno Nagris aliyoyaandika kwenye picha hiyo.
Tutaendelea kukuleatea picha za zamaniza wasanii mbalimbali wa Bongo Movies kila tukizipata
BONGO MOVIE