Dec 9, 2014

BREAKING NEEEWS: MOTO MKUBWA ansio -Ukerewe.Petrol Station yawaka moto

 mtoto mkubwa uliozuka usikuu maeneo ya nnsio ukerewe  chanzo hakijajulikana 

 moto unazidi kuwaka na magari ya mafuta yazidi kuteketea katika petrol station
 
maduka jilani nayo yateketea na magari matatu.
Inauma sana..

tutakujuza kwa habari kamili tunafatilia chanzo cha moto huo