Dec 6, 2014

Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)

23C9CF7E00000578-2863130-image-a-61_1417838434229
 Mwaka 2014, Beyonce peke yake aliingiza zaidi ya dola milioni 115 na Jay Z aliingiza zaidi ya dola milioni 60 na hivyo si kitu cha kushangaza kama wanandoa hao wenye nguvu wakitoa dola milioni 85, kununua mjengo wa kifahari uliopo huko, Beverly Hills estate.


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Bey bna Jay wameonekana kwenye nyumba hiyo kwa zaidi ya mara sita na wana nafasi kubwa ya kuinunua. Wakala wa masuala ya nyumba Branden Williams amekadiria kuwa nyumba hiyo inaweza kuuzwa kwa dola milioni 70 na wawili hao wanatarajia kukamilisha malipo kabla ya Christmas.’
23C9CF8200000578-2863130-image-a-63_1417838447262
Nyumba hiyo ina vyumba vinane, mabafu 13 na ina garage ya kuegesha magari 16.
23C9CF9600000578-2863130-image-a-59_1417838425635
23C9CF8A00000578-2863130-image-a-78_1417841324260

23C9CF8600000578-2863130-image-a-65_1417838459662
23C9CF9200000578-2863130-image-a-69_1417838475019