Dec 6, 2014

Azam Media yaingia Kenya, Rwanda na Zambia kufuatia

1800359_274606006038981_668844143_n

Kampuni ya Azam Media imeanzisha huduma ya runinga za kulipia nchini Kenya.
Hatua hiyo imekuja wakati ambapo Kenya inatarajiwa nayo kuhama kwenye matangazo ya analojia na kuingia digitali kuanzia mwezi ujao.
Azam itapambana na makampuni kama Multichoice, Zuku TV na mengine kwenye biashara hiyo nchini humo.
Azam ina mpango wa kwenda katika nchi zingine kama Zambia, Rwanda na zingine