Nov 10, 2014

ZIARA YA MHE. JERRY SILAA MALAMPAKA


Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana.
Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.
...........akiendelea kuhubia.
........ Mh. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Kata ya Malampaka.
........ Mh. Jerry Silaa akizungumza na wazee wa Kata ya Malampaka.
Vijana wakionesha michezo ili kuburudisha watazamaji waliokuwepo.
........ Mh. Jerry Silaa akisalimiana na watoto.