Nov 4, 2014

YAMOTO BAND WAPAGAWISHA KAHAMA.....TAZAMA MATUKIO SHOW ILIVYOKUWA.

 Vija wa Yamoto Band jana walikuwa katika mji wa Kahama na kufanya bonge la show katika Ukumbi wa Masobo, Hizi ni picha za matukio yaliyojiri jana katika ukumbi wa Masabo.