Video: Diamond, Vanessa Mdee, Shaa na Joh Makini walipotumbuiza na wasanii wa Nigeria kwenye fainali ya Coke Studio Africa
Msimu wa pili wa Coke Studio Africa ulimalizika Jumamosi November 8 jijini Nairobi, Kenya ambapo wasanii wa nchi mbalimbali za Africa ikiwemo Tanzania walitumbuiza pamoja live.