Naibu
katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi.
Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo
katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni
mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Vijana
kutoka Kigamboni Community Center wakitoa burudani wakati wa hafla za
uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini
Dar es Salaam.