TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YA MAREKANI YAENDESHA KLINIKI YA MASIKIO MKOANI ARUSHA
DAKTARI,Assay
Shibanda (kushoto) na John Yuccas wakimwekea mwanafunzi wa Shule ya
Msingi Elbol,Levina Innocent mashine ya kuongeza kiwango cha usikivu
kwenye Kliniki inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Montage Limited na
taasisi kutoka Marekani ya Starkey Hearing Foundation ya kuwawekea vifaa
vya kuongeza usikivu inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo
Palace jijini Arusha jana
Mtaalamu
wa matatizo ya usikivu kutoka Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya
nchini Marekani, Derek Johson akimfanyia uchunguzi wa awali wa masikio
mmoja wa watu wenye usikivu hafifu waliokuja kuhudhuria Kliniki
inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha jana Mratibu
wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation kutoka Marekani, Derek Johnson
akitoa maelezo ya awali kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mount Meru na
chuo cha Biashara cha Arusha, (IAA) waliokuja kujitolea kutoa huduma
mbalimbali ya matibabu na uwekaji vifaa vya kuongeza kiwango cha usikivu
masikioni kwenye Kliniki inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo
Palace jana. Kushoto ni Msimamizi Mkuu wa zoezi hilo, Teddy Mapunda. MMOJA
wa wataalamu wa kuchunguza matatizo ya masikio,Stuart Specer kutoka
Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya nchini Marekani inayoendesha
kliniki ya masikio akitaniana na mkazi wa Arusha,Ally Abdulrahman
aliyewahi kuishi nchini humo ambaye kwa sasa ana matatizo ya kusikia
kwenye kliniki inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo
PalaceJijini Arusha jana