MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuzi huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena.
Nov 7, 2014
PENNY: DIAMOND HANA CHAKE, NIMESHAPOSWA