Nov 13, 2014

New Music: Kelly Rowland atoa wimbo aliomuimbia mwanae ‘Mommy’s Little Baby,

                          1406835835_kelly-rowland-interview-article
 Baada ya kuwa mama hivi karibuni, aliyekuwa muimbaji wa kundi la Destiny’s Child, Kelly Rowland amerekodi wimbo maalum kwaajili ya mtoto wake.
Muda mfupi kabla hajauchia wimbo huo, Kelly alipost kipande Instagram na kuandika “A song for Titan.” na saa moja baadae akauachia wimbo mzima.
Kelly na mumewe Tim Witherspoon walipata mtoto wao wa kwanza wa kiume Jumanne Nov.4 na kumpa jina la Titan Jewell.