Bondia Thomasi Mashali kushoto
akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya makubaliano juzi ya
mpambano wao kufanyika January Mosi 2015 katika ukumbi wa Frends Corner
Manzese Dar es salaam.
Promota Kassim Texas
katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na
Abdallah Pazi kuashilia makubaliano ya mpambano wao utakaofanyika
january mosi katika ukumbi wa frends corner manzese .
Bondia Thomasi Mashali kushoto akitunishiana misuli na
Abdallah Pazi baada ya makubaliano juzi ya mpambano wao kufanyika
January Mosi 2015 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaa Picha na SUPER D BLOG.