Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki
ya Wanawake Tanzania (TWB),
Magareth Chacha (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichai) wakati wa hafla ya
kukabidhi hati
za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar
es
Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na
Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Wanawake Tanzania (TWB),
Magareth Chacha (wa pili kushoto)
akimkabidhi hati ya kiwanja, Mhindi Mayenga wakati wa hafla ya kukabidhi hati
za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar es
Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na kulia ni
Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi.
na JIACHIE BLOG