safari hii akiwa katika filamu mpya inayoitwa Mchepuko(Simu Ya Mkononi) huku akiwa na wasanii wengine wakongwe ambao bado wanatamba sasa yaani Cathy Rupia, Dino na Dude Kulwa Kikumba. Filamu hiyo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions.
Waridi pia alicheza katika filamu ya A Point Of No Return akiwa na hayati Steven Kanumba, Wema Sepetu, Dr.Cheni na Lilian Wa Mambo Hayo