Oct 7, 2014

MDAU SOPHIA NYANGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Oktoba 4, 2014 ilikuwa ni sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa  kwa mwanadada Sophia Nyangasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo hafla hiyo fupi iliweza kufana ndani ya Kiota cha Maraha cha High Spirit Lounge jijini Dar.

Shangwe za marafiki katika hafla hiyo.
Ilikuwa ni furaha, wafanyakazi wa Airtel Tanzania walipokutana pamoja kumpongeza mwenzao.
Shampeni ikigawiwa.
Ilikuwa ni shangwe kwa marafiki ambao waliungana nae.
Cheers!
Tunywe kwa afya...
Bibie Sophia Nyangasha akimtambulisha mchumba wake mbele ya marafiki.
Hapa alikuwa akiteta na mchumba wake.
Pongezi za mabusu.
 
 
picha na global news