Oct 6, 2014

Habari njema kwa wenye vipaji vya uchekeshaji

Habari njema kwa wenye vipaji vya uchekeshaji

Azam TV inatoa nafasi kwa wachekeshaji ambao vipaji vyao havijapewa nafasi. Ili kufanikisha imeandaa kipindi cha ucheshi cha Luninga kiitwacho WASAKATONGE COMEDY SHOW. Usahili kwa ajili ya kuwatafuta mwenye vipaji vya kuchekesha jukwaani na kuigiza vichekesho, ni ijumaa tarehe 10/10/2014 uwanja wa ndani wa Taifa temeke.

Ukiwa kama mdau tunahitaji msaada wako katika kuijulisha jamii, ndugu jamaa na marafiki kupitia blog yako, tumeambatanisha picha na online release unaruhusiwa pia kushea na wengine. 

Kwa maelezo zaidi

Mtatiro Joseph (Senior Producer)

Wasakatonge. ni zaidi ya comedy

Azam TV, Burudani kwa wote.