Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mAMLAKA ya maji safi na maji taka Jijini Arusha(AUWSA) walipowatembelea leo
Wakiwasili AICC
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2014, wakimsikiliza Ofisa Habari Mwandamizi na Itifaki wa Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Catherine Kilinda aliyekuwa
akiwapa maelezo mbalimbali kuhusina na kazi za kituo hicho walipokitembrelea
jijini Arusha leo.Aliyevalia suti ni Rodney Thadeus Ofisa Itifaki.
Warembo wakiwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo
Washiriki
wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiwa katika picha ya pamoja huku
wakiwa na benbdera ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) walipotembelea Makao
makuu ya Jumuia hiyo jijini Arusha
Warembo wakisambaza upendo kwa Rodney Thadeus.