

Mkurugenzi wa
Didas Entertainment, almaarufu kwa jina la Didas Facion akiongea wakati
wa uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana
Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni Msanii
Wastara Juma na Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere. Mfuko wa Pensheni
Kwa Watumishi wa Umma PSPF.

Mkuu wa wilaya
ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiongea machache wakati wa uzinduzi wa
Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana Septemba 4, 2014
katika viwanja vya Leadrs Club.

Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere akitema cheche.

Wazazi wa mwanadada Didas...



Bendi ya YAMOTO akimwaga burudani.



Wageni waalikwa.

Msanii H. Baba akiwanga burudani.

Mke wa H.Baba, Flora Mvungi akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake.

Baba na Mama wakitoa burudani.


Wasanii waliohudhuria uzinduzi huo.