Sep 5, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE KADHAA KUJERUHIWA.




Zaidi ya Watu 35 wamefariki dunia papo hapo na wengine
kadhaa kujeruhiwa baada ya Mabasi waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Kiabakari-Musoma Mkoani Mara.

Ajali hiyo imetoa hii leo kwa kuyahusisha Mabasi ya Musoma Express pamoja na J4
Express. Tunaendelea kufuatilia tukio hili kwa ajili ya kupata habari zaidi na tutakujuza kadri tutakavyozipata.

Wananchi wakiwa katika hali ya Simanzi baada ya ajali hiyo