
Baada ya wasanii wengi kulalamika kuwa Director wa Bongo hawana vifaa na ideal zao ni zile zile, kauli hizo ziliwakera waandaaji wengi sana wa Muziki Tanzania, na kuleta hoja nyengine kutoka kwa waandaaji hao kudai wasanii wenyewe hawawalipi vizuri, hivyo suitegemee kitu kizuri kwa gharama ndoto "kizuri kina gharama"
Kupitia Video ya Rich Mavoko AJ ameonesha uwezo zaidi ya video ambazo tayari ameshazifanya mwanzo, na hii ni kama jibu kwa wale ambao waliamini Bongo hamna ubora wa video kama za South Africa, Nigeria n.k.
Tazama video hii kisha utapata jibu kama hata Directors wa Tanzania wakiamua wanaweza. Kikubwa na malipo mazuri tu.
